Features Abass Online TV
Abass Online tv (Eastleigh Daawa, Nairobi, Kenya) ni channel ya Daawa ambayo makao yake iko eastleigh, Nairobi, Kenya.
Channel hii inakuletea Mihadhara mbali mbali kila siku...waalimu mbali mbali hushiriki katika mijadala hizi.
malengo ikiwa ni kufikisha ujumbe wa uislamu kwa wasiokuwa waislamu kupitia mijadala hizi.
matukio haya yanavyoendelea ndivyo tunavyorekodi na kuiweka katika mitandao ili ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi.
hivyo ni vizuri kila unapoipata video mpya..
bonyeza kitufe cha like na pia share katika groups za whatsapp na facebook ili uweze kushiriki katika kueneza ujumbe huu.
ukiwa na swali lolote wasiliana nasi katika whatsapp +254724871565
Secure & Private
Your data is protected with industry-leading security protocols.
24/7 Support
Our dedicated support team is always ready to help you.
Personalization
Customize the app to match your preferences and workflow.
See the Abass Online TV in Action
Get the App Today
Available for Android 8.0 and above